Laptop inauzwa sh 450000

Laptop inauzwa sh 450000

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Niana ya hp,nimetumika kwa mda wa miezi 6,ninzuri na haina mchubuko hata kidogo,nzuri ukubwa 2gb,bei haipungui,mwenye kutaka PM,inaprogram zote

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Niana ya hp,nimetumika kwa mda wa miezi 6,ninzuri na haina mchubuko hata kidogo,nzuri ukubwa 2gb,bei haipungui,mwenye kutaka PM,inaprogram zote

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

2gb ndio ukubwa wa computer, Hard disc, ram au nini?
Weka picha labda utaeleweka!
 
Nishitue kwenye namba hii ili nikutumie pic kwenye laptop,07663509

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kweli waweza kutumia laptop miezi sita usijue specifications muhimu za kuweka kwenye advert...? Weka picha na specs watu tuchukue.
 
Back
Top Bottom