Natafuta moja ya smartphone hizi: galaxy s3, galaxy note 2, nokia lumia 920, au iphone 4s

Natafuta moja ya smartphone hizi: galaxy s3, galaxy note 2, nokia lumia 920, au iphone 4s

mfocbsjut

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
479
Reaction score
259
Nahitaji mojawapo wa smartphone hizo, bajeti yangu ni kama ifuatavyo:
samsung galaxy s3 550k
samsung galaxy note 2 600k
nokia lumia 920 500k
iphone 4s 500k
 
kwa lumia 920 voda wanaiuza 1.2m kwa bei hiyo nakushauri uwe makini na matapeli ambao wanaweza kukuuzia hata kwa laki 4. Bei ya voda ndio pamoja na vat,lkn inaweza kuwa laki8 hadi 9 bila vat,pitia gsm arena
 
Kaka umesha I-phone 4s??ipo mkuu kwa hiyo 500K

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ni ya rangi gani mkuu? Na gb ngapi?

Sent from my GT-N7000 using Tapatalk 2
 
Nenda jmall samsung...utapata s3 au posta yale maduka baada ya mnara wa askari kabla kufika empire..s3 mini ni bei hiyo utapata its sooooo nice..im using it rite now
 
zote ninazo tatizo bajeti yako too low na ukipata mtu akakuuzia bei hzo shukuru sana,angalau kwa 4s kidogooo waweza pata kwa bei hyo ila hzo zingine subutuu,kila lakheri
 
@mfoc....ni silver with 16BG i-phone 4s

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ninazo Nokia Lumia 920, naziuza for 750,000 .. hakuna maelewano.
 
Nahitaji mojawapo wa smartphone hizo, bajeti yangu ni kama ifuatavyo:
samsung galaxy s3 550k
samsung galaxy note 2 600k
nokia lumia 920 500k
iphone 4s 500k

S 3 nnayo used laki 6 .....saafi
 
Jamaa hayupo criouz hzo hela zake bora akazmalzie gest 2 cm kambiwa ipoa anaulza scratchez anataka ya kwny aox au?
 
Back
Top Bottom