Kiwanja kinauzwa Kipo eneo la Itega sqm 2,400 ni 5KM kutoka Dodoma mjini bei 20,000,000 maongezi yapo mawasiliano kwa namba hizi 0754297298 ua 0715297298.
Sent from my BlackBerry 9780 using...
Nipo tanga kwa sasa ila next week nina mpango wa kwenda dar es salaam. Nina hitaji kama kuna mtu anaweza kunitengenezea micro sim card kwa bei rahisi. Au mniagizie sehemu wanayo tengeneza. Asanteni
SOLD***SOLD***SOLD***SOLD
Nauza Microtek Pure sinewave Inverter
Specification:
2KVA (2000 Watts)
36 Volts
27 Kg
Genuine Brand and Technology. ENJOY UNINTERRUPTED POWER ALL THE WAY.
Hii Inverter...
Kiwanja hakijapimwa ,ila ni more attractive kwa ajiri ya ujenzi wa nyumba ya biashara. au au car wash etc. umeme uko within area kwan kuna makazi jiran, interested buyer ni PM
HELLO JF MEMBERS,
AGAIN, NINA ONA VEMA KUWASHIRIKISHA WADAU KATIKA SIMPLE BLOG YANGU AMBAYO KIMSINGI NAJARIBU KUHIGHLIGHT MAMBO MHIMU KATIKA MASUALA YA PROJECT AND DEVELOPMENT WRITING AND...
Wasalaam wanaJF!!
Smartphone BB Bold 9780 inauzwa!! Haina tatizo lolote ila ni used,screen yake haina mikwaruzo kwan ina screen guard tangu upya wake!!! Kama uko interested tuwasiliane @0767...
katika ulimwengu wa biashara kinachoongeza mauzo sio bidhaa ila ni neno uliloliweka ndani ya kichwa cha mteja wako na ili kuliweka neno likastawi na kuwa na mihimili uaminike unatakiwa kujibrand...
Pikipiki ndogo aina ya Suzuki inauzwa. Ni automatic na speed yake mwisho 60 KPH. Imeshasajiliwa na Bima yake imeshaisha. Inatembea vyema na betri yake imekufa inahitaji kubadilishwa.
Bei ni...