Nipo tanga kwa sasa ila next week nina mpango wa kwenda dar es salaam. Nina hitaji kama kuna mtu anaweza kunitengenezea micro sim card kwa bei rahisi. Au mniagizie sehemu wanayo tengeneza. Asanteni
nipigie 0787 103846.nipo tanga natengeneza kwa elfu kumi.Nipo tanga kwa sasa ila next week nina mpango wa kwenda dar es salaam. Nina hitaji kama kuna mtu anaweza kunitengenezea micro sim card kwa bei rahisi. Au mniagizie sehemu wanayo tengeneza. Asanteni