kwakweli hata mimi hii campaign imenivutia sana. ila I wish kungekuwa hata ta mtandao ambao unaonyesha hizo products za Tanzania. Nia ni kuona kazi kwa macho yetu ili tuweze kuunga mkono. but so far nimshasikia kupitia studia Watz ambao wamebuni vitu mbalimbali wakihojiwa. Big up Clouds FM
Clouds walitangaza kuwa watakuwa na kampeni ya mwezi mmoja wa kuhamasisha matumiza matumiza ya bidhaa za kwetu "MADE IN TANZANIA" ndio maana unaona karibu kila saa utasikia neno hilo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.