micro sim card

micro sim card

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,106
Reaction score
53,622
natafuta sehemu wanayotengeneza micro sim card. na bei gan?
 
Ndio zile ndogo kama zinazotumika kwenye iphone?
 
au lumia 620. simu yangu inahitaji lakin sina.
 
Nunua sim card ya kawaida, na kiwembe kipya then ichonge kwa size utakayo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
natafuta sehemu wanayotengeneza micro sim card. na bei gan?
Siku hizi makampuni mengi ya simu yanakuwa nazo hizo Micro chip. Nenda kwa kampuni husika ya mtandao wako. Kama hawana chip watakuwa na kile kifaa cha kukatia Sim card. All the best.
 
Ndio hizo mkuu

Kata mwenyewe na mkasi au kiwembe mkuu, mimi niliwahi kuikata ya kwangu na ikatosha na ikafanya kazi. Hakikisha unaikata ukubwa na shape kama ya ile groove itafanya kazi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom