chinga4
Senior Member
- Mar 18, 2013
- 131
- 58
Sababu za kuuzwa bei hyo ni kwamba ina tatzo la sauti, ukipiga au kupigiwa hausikii sauti. Ila kuhusu CARRIER NETWORKS inaunga line zote, na unaitumia JF, Whaatsap, badoo, FB, twitter, instagram, etc. Ila tatzo n kusikia pnd unapopga. Ukiinunua ukubali kuitumia kama IPOD na kwa ajili ya Intanet. Ila sauti ndo tatzo. Kwa muhtaj anicheki kwa. PM,
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums