Erick kg
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 314
- 73
nyumba inauzwa ipo maeneo ya ubungo external haioko mbali kutoka stand ina vyumba 4 na sitting room kubwa na jiko ndani pia ina fence ambayo magari 5 yanaweza yaka park...inshort nyumba iko vizuri. Mwenye nyumba anauza anamatatizo. Check me 0717 022737 bei ni millioni 62. Square mita 894, pia ina hati.