Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Angalia hii attachment Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
14 Replies
5K Views
NISSAN FUGA 🚘 ✔️PRICE 7 MIL ✔️YEAR 2004 ✔️CC 2490 ✔️COLOUR PEARLY WHITE ✔️LOW MILAGE ✔️FULL AC ✔️FULL DOCUMENT ✔️GARI MKWAJU SANA HAINA TATIZO LOLOTE ✔️LOCATION DSM, BUNJU CALL +255 734 766 126
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Habari ,ninauza piki piki yangu aina ya boxer 150 namba c, Piki ipo ktk hali nzuli inatembelea na taili ya nyuma bado mpya kabisaaa. Piki piki ipo dar es salaam , chanika. Bei ni sh 580000...
0 Reactions
0 Replies
359 Views
Habari za wakati huu kwa anayehitaji Soya anaweza kunitafuta ili tufanye biashara karibuni sana
0 Reactions
3 Replies
396 Views
Ni tofali zinazokatwa kwenye Mwamba/mawe zina mwonekano wa kipekee, ngumu /imara mara 5 zaidi ya tofali za kawaida unaweza usipige plasta na ukahamia na ukaenjoy kuishi hapo.
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wana jf. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, 👉 Aina ya simu ni SAMSUNG A 04 ya rangi nyeusi, nilinunua mwezi wa 5 mwaka huu. 👉 Haina cracks wala faults yeyote ni nzima kabisa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana Jamii, Tunauza vyomba vya nyumbani Bei za jumla na rejareja. Kwa yeyote anayetaka kuanzisha biashara Kwa Bei nafuu awasiliane nasi namba 0719-756640. Bei zetu; 50pcs : 190,000/- 100pcs...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama unaitaji system za kila haina karibu sana, utatengenezewa system kwa bei nafuu sana. School management system Online examination system HR management system Collage management system...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Walio dukani au wenye connection naombeni maelekezo Duka linalokopesh PC. Napenda kujua utaratbu wake. Au mwenye kuweza kuniwekea udhamini. Na vigezo vyote vya kujidhamini pia kwa wale...
0 Reactions
0 Replies
318 Views
Rafiki yangu mpendwa, Ukiniuliza ni kitu gani ambacho mtu yeyote akikifanya anaweza kubadili kabisa maisha yake na yakawa bora, sitafikiria mara mbili. Nitakujibu mara moja kwamba ni USOMAJI WA...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
kwa wanaoitaji dipstick za urine nipigie kwa namba 0778422150 nipo zanzibar kijichi bei ni sh.16000 pia machine ya FBP three parts kwa Milion 6 ipo kwa anaeitaji
2 Reactions
0 Replies
396 Views
Year 2008 Engine cc1990 (valvematic) Mileage 59000km Full option (cruise control) HAINA DALALI Call 0752506120
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya. Nina binti yangu anahitaji kazi yoyote ile. Iwe ya kufanya usafi, hata kuuza duka. Ni binti ambaye yuko sharp sana. Yupo vizuri katika...
2 Reactions
6 Replies
785 Views
Ina vyumba 2 vikubwa self, Ina maji ndani Umeme -Ukuta -Eneo kubwa ndani ya uzio -unaweza kuweka bustani ya mboga, -NYumba ni mpya kabisa. -Eneo iliko ni nyuma ya RC/Shule ya msingi Ngaramtoni...
0 Reactions
6 Replies
821 Views
Habari gani wana jamvi wote humu. Nimekuwa nikiulizwa juu ya Teknolojia hizi za kiulinzi katika maeneo yetu ya biashara na makazi. Nimekuja Jamvini kama ilivyokawaida ya Jamvi letu moja ya sifa...
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kupata fundi wa fanicha za ndani na awe na utundu wa ubunifu wa vitu mbalimbali vya ndani (fanicha). Ofisi inauza vitu used pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
466 Views
Ndugu wadau wafugaji tunauza ng'ombe bora wa maziwa aina mbalimbali wenye uwezo wa kutoa maziwa hadi lita 30 kwa siku. Ipo Mitamba yenye mimba na isio na mimba aina zote Wapo ndama bora Aina zote...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Karibuni wateja tunauza viwanja na heka kwa bei nzuri. Maeneo nimeshayataja hapo juu. Nimazuri kwa ujenzi na shughuli zingine . Kwa kiteto kuna heka 10 zilizoshikana kila moja inauzwa laki...
0 Reactions
2 Replies
615 Views
Kwa mwenye uhitaji wa simu TECNO POP 6 GO. RAM 2GB. INTERNAL 32GB 4000mAh BEI:150000 KWA ALIYEKO DODOMA.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari JamiiForums members. Nyumba inauzwa na benki kwa njia ya mnada. -- Nyumba ipo Mbezi, Msingwa --Nyumba ina kiwanja chenye ukubwa wa 520sq/m-- Nyumba ina vyumba vitatu, kimoja master...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…