Camera 5 megapixel, storage 8 GB..text 0685072527..maelezo mengine google..inauzwa handset tu..simu ipo kwenye hali fresh snaps hizo hapo..inapatikana DSM..
habari zenu wakuu?
naombeni msaada nataka nianze maisha sasa kwaio nahitaji kiwanja. Maeneo tajwa na maeneo mengine ambayo bei iko nzuri. bei yoyote tuu lakin isizidi mil 6.
kama una deal au...
Kuna nyumba ipo Ukonga Mazizini yenye vyumba 4, ina umeme na imejengwa kisasa. Bei yake ni shilingi 30,000,000. Kwa mawasiliano piga namba 0788 883962.
MITSUBISHI L200 4LIFE, MANUFATURED IN 1999....JUST IMPORTED TODAY 17/07/2013 FROM THE UK, DUTY PAID, COMES WITH BLUE AND SILVER, 2.5cc TURBO DIESEL, MANUAL TRANSMISSION, DOUBLE CAB WITH MATCHING...
Wanajamvi kuweni makini sana na wanaotangaza kuuzwa kwa mashamba nk, majuzi nilienda mwanza, nilipofika mwanza nikapelekwa sehemu ambako nilitaka kununua kama heka5 za shamba maana sehemu yenyewe...
Shamba la ekari 6 linauzwa maneromango lipo karibu na barabara. Bei ni milini 6. Unaweza kulima karibu mazao yote kuanzia mahindi, karanga, matikiti, ngano, alizeti nk. Unaweza kupiga au kunitext...
Wadau nina bidhaa ya UNGA WA UBUYU, natafuta soko, ninao unga wa kutosha na bado naendelea kuuzalisha, mwenye kuhitaji awasiliane nami kwa namba zifuatazo 0712700280/0766550881. Napatikana Dodoma...
Wakuu,
Kuna shamba la ekari 100 linauzwa katika kijiji cha kidomole karibu na itakapojengwa bandari mpya bagamoyo. Ukihitaji kwa ekari ni laki 5 tu na ukinunua kuanzia ekari 20 bei inapungua...
Habari zenu wakuu,
Ndugu zangu kuna viwanja viwili vinauzwa kwa 7.5m na 10m,vipo MAKOKA MWISHO sehemu tambarale,kwenye hiyo bei pia maongezi yapo hivo bei ni maelewano! Kwa anayehitaji wasiliana...
Total - 100 Sq meters of space
Divided into 5 separate units, each with locking door
Prime location - in clock tower area (India Street)
Modern office, good view, clean and secure
Comes with two...
Wakuu habari zenu,
Napenda kujitambulisha kama mwanachama mpya hapa Jamii Forum. Naamini nitajifunza mengi zaidi kama mwanachama kuliko awali nilivyokuwa nachungulia tu kwa juujuu. Asanteni...