Natafuta taa za gari

Natafuta taa za gari

cjui mimi

Member
Joined
Jul 7, 2013
Posts
67
Reaction score
8
habari wadau natafuta taa za mbele(kubwa) za gari aina nissan cube msaada please
 
Next time unapofanya uchaguzi wa magari ununue magari ambayo yako common kama kipato chako ni cha mashaka,ili isikusumbue kupata spareparts,otherwise ni maumivu makali kwani kuna mtu namjuwa ana mwaka sasa ana gari aina ya Toyota Progress iligongwa taa ya nyuma siku mbili baada ya kuitoa Bandarini,mpaka leo hii kaziba na gundi,maana yake ni kuwa spare parts ya baadhi ya magari ni chache sana hapa kwetu au ni za gharama ya juu kutokana na uchache wa magari husika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom