Nyumba bei chee inauzwa

Nyumba bei chee inauzwa

bizplan

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
592
Reaction score
574
Kuna nyumba ipo Ukonga Mazizini yenye vyumba 4, ina umeme na imejengwa kisasa. Bei yake ni shilingi 30,000,000. Kwa mawasiliano piga namba 0788 883962.
 
Duuh hiyo haina tatizo lolote lile mbona hiyo ni bei ya kiwanja tu !!!
 
Kuna nyumba ipo Ukonga Mazizini yenye vyumba 4, ina umeme na imejengwa kisasa. Bei yake ni shilingi 3,000,000. Kwa mawasiliano piga namba 0788 883962.

Hapo kwenye bei sema tena... ngapi!?? ina mgogoro ama!??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom