Wadau, nauza kiwanja maeneo ya chuo cha mzumbe morogoro chenye ukubwa wa hekari moja. Kiwanja kipo karibu nachuo cha mzumbe. Eneo ni tambarale na linafaa kwa ujenzi wa hostel, cafeteria, makazi...
Nokia Lumia 620 black,8Gb, 0ne strait month used, get with all accessories + manual books & box @ 350,000
for photos send me your email or whatsapp number...
Nb: supports...
Camera Zingine zinauzwa...Kama Title inavyo Sema
Camera Zote Mbili Kwa Lak.Mbili Tuu!! Yani 2 For 2
Camera Used Ya aina Panasonic Lumix Yenye 14.1MP 5X Optical Zoom!!
Na...
Maeneo ya Ukonga Mombasa banana majumba Sita kwa mwezi 100,000 mpaka 150,000 kuwe na geti packing ya gari, yaani kiufupi furniture nikiziweka Kama Muv za Nigeria vile..plz ni pm Kama unayo..
Mimi ni mwl. wa s/msingi katika halmashauri ya wilaya mpya ya KYERWA-KAGERA natafuta mwl. wa kubadilishanae kituo cha kazi kati ya halmashauri zifuatazo Muheza, Tanga mjini, Arusha mjini...
habari wadau, najua mshaskia kuwa kuna s4 lakini sio zile original zenyewe but hii ni clone yake tena iko vile vile copy right haina tofauti except low camera quality na haina sensors, iko faster...
Camera Zingine zinauzwa...Kama Title inavyo Sema
Camera Zote Mbili Kwa Lak.Mbili Tuu!! Yani 2 For 2
Camera Used Ya aina Panasonic Lumix Yenye 14.1MP 5X Optical Zoom!!
Na...
+255 756 412 337
Used.
General
Packaged Quantity 1.0
Product Type Digital camera - Compact
Resolution 6.1 megapixels
Optical Sensor Type CCD
Effective Sensor Resolution...
Wakuu nauliza ile milango ya frame ya chuma ambayo unafunga na kufungua kwa ku slide kutoka chini kwenda juu, inapatikana wapi Dar na viwango vya bei zake vikoje? Natanguliza shukrani.
Wakuu, nauza majaketi na makoti mazito kwa ajili ya kutumika sehemu zenye baridi kali kwa bei ya kuanzia sh. 20,000/= hadi elfu 70 kwa wale wanaotaraji kwenda sehemu za baridi ama wale waishio...
Wakuu ninauza viwanja vinne vyenye ukubwa wa heka moja kila kimoja kwa sh. mil 4 tu kwa kila kimoja. Viko Kongowe Mwisho Mbagala. Tafadhali mwenye kuhitaji ani PM.
Nauza trecta haina ya Ford 4000. Ipo Dar es salaam. Used. Good condition. Bei: 15m. Uzuri wa hii trecta ni matumizi mazuri ya diesel -
ni ya piston 3. Haina trela wala jembe. Tanzania haijafanya...