amina paggy
Member
- Jul 14, 2013
- 37
- 1
Unaharibu Mkuu,Hizi ML 320, ML350 ni MAJANGA sana tu haswa kama una pesa ya msimu mbona utalibeba badala ya kuliendesha... Good lucky:wave::wave::wave::wave::wave:
Hizi ML 320, ML350 ni MAJANGA sana tu haswa kama una pesa ya msimu mbona utalibeba badala ya kuliendesha... Good lucky:wave::wave::wave::wave::wave:
Mkuu hilo tangazo nadhani halupaswa kuwekwa humu, kwani asilimia kubwa uwezo wetu memba wa jf ni wa kununua SANLG kwa mamilionea wa jf weng uwezo wao unaishia kununua RAV4 ambayo haizi milion 20. Sasa wewe unaongelea milion 350

Shs ngapi mkuu maana Kitu kimetuliA saaaana aiseee...?
taja bei , niikuwa natafuta kitu kama hicho.