Nataka nyumba ya kupanga nzuriii....

Nataka nyumba ya kupanga nzuriii....

Kizazi jeuri

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Posts
297
Reaction score
64
Maeneo ya Ukonga Mombasa banana majumba Sita kwa mwezi 100,000 mpaka 150,000 kuwe na geti packing ya gari, yaani kiufupi furniture nikiziweka Kama Muv za Nigeria vile..plz ni pm Kama unayo..
 
du...ivi dar kuna nyumba ya quality unayoitaka kwa hela hiyo?
 
Zipo nyingi saaana tabu Kama unataka Sinza kinondon ndio shida wewe Ukonga na foreni lake loooote ukapange 200,000 kweli? Si bora upange Sinza 250,000 Mafuta kidogo town,..
 
Mkuu kwanini usijenge ya kwako ndio upange bei unazotaka hizo?
 
Ndio maana nataka maeneo ya uko., kuna Kitu kinamalizia finishing kwa Diwani moshi bar mbele inabidi niwe jirani na ili nifanye mambo ya ajabu zaidi.......tupo pamoja mkuuuuuuuu
 
Ilo neno mkuuu mwezi wa 12 mwaka huu ntatoa mwariko kwa nyinyi ndugu zangu...
 
Zipo nyingi saaana tabu Kama unataka Sinza kinondon ndio shida wewe Ukonga na foreni lake loooote ukapange 200,000 kweli? Si bora upange Sinza 250,000 Mafuta kidogo town,..

Mkuu naomba ni pm chimbo la sinza
 
Zipo nyingi saaana tabu Kama unataka Sinza kinondon ndio shida wewe Ukonga na foreni lake loooote ukapange 200,000 kweli? Si bora upange Sinza 250,000 Mafuta kidogo town,..

Hizi akili za Bavicha kudhani kila mtu anafanya kazi town. Kwahiyo askari wa magereza Ukonga naye akapange Sinza ili iwe rahisi kufika town lakini kazini kwake Ukonga!
 
Sasa nitoke Posta mpaka Kule si hatari!!! Hayo Mafuta? Wew unafikilia kutumia makali..... Oooo eeheeeeee?
 
Maeneo ya Ukonga Mombasa banana majumba Sita kwa mwezi 100,000 mpaka 150,000 kuwe na geti packing ya gari, yaani kiufupi furniture nikiziweka Kama Muv za Nigeria vile..plz ni pm Kama unayo..

Unataka nyumba au chumba? Aina hiyo ya nyumba kwa bei hio labda Manerumango utawezapata.
 
Aiseee wew bado upo kwenu eeheee? Harafu itakuwa unapenda saana kuishi jirani na mlimani city iviii eeheee? Ninapokaa nalipa 80,000 upande mzur balaaa Mtu Kama ukipata utaona upo peponi... Sinza kwa huu upande ni 200,000..
 
Ndio maana nataka maeneo ya uko., kuna Kitu kinamalizia finishing kwa Diwani moshi bar mbele inabidi niwe jirani na ili nifanye mambo ya ajabu zaidi.......tupo pamoja mkuuuuuuuu

Nipe kazi ya interior design mkuu!
 
Nipe namba pm ili ukapaone unipe mpangilio wako nikikubal tufanye kazi.... Mkuu
 
Hizi akili za Bavicha kudhani kila mtu anafanya kazi town. Kwahiyo askari wa magereza Ukonga naye akapange Sinza ili iwe rahisi kufika town lakini kazini kwake Ukonga!

Nilidhani umepona baada ya 4-0 kumbe bado?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom