Wadau, nauza kiwanja maeneo ya chuo cha mzumbe morogoro chenye ukubwa wa hekari moja. Kiwanja kipo karibu nachuo cha mzumbe. Eneo ni tambarale na linafaa kwa ujenzi wa hostel, cafeteria, makazi binafsi etc. Ni eneo linalokua kwa kasi na miundo mbinu yake imekaa vizuri. Bei ni Tshs 8,000,000 tu.