Nataka kununua Toyota wish namba D aya mwanzoni iwe nyeusi kwa 7M kama unayo naomba namba tufanye biashara hata ikiongezeka laki tatu ya dalali sio mbaya
Husika na kichwa hapo juu ninatafuta gari ya kununua Toyota ALLEX number kuanzia DY offer ipo 12 ubaoni
[emoji404]:Kama ni dalali ukija sema Kama ni owner Pia ukija sema punguza maneno matendo...
Kibaha kwa mfipa(upande wa chuo)
Toka moro road unatembea tu, kwa boda ni buku
20×20(Sqm 400)
Kila kimoja ni million 4 tu
Kupelekwa site ni 10k
0744757738
Sent from my Infinix X657B using...
Wakuu Kiwanja kinauzwa.
Kipo Kibamba Shule kituo kinaitwa Bwawani kama unaelekea Kibwegele.
Ukitembea kwa mguu ni mwendo wa dakika 3 hadi 4 kutoka barabara kubwa.
Ukubwa ni 20 × 20.
Bei ni 5.5M...
Habari wakuu,
Nauza duka langu la vifaa vya ujenzi lililopo kibamba Dar es salaam maeneo ya Kibwegere duka linathamn ya m8. ( Milioni nane)
Mawasiliano yangu ni 0656052164.
Kwa mtu yoyote anayeielewa mitaa ya makuburi na External aniambie mtaa mzuri ninaoweza kupata nyumba nzuri ya kupanga... average standard, sina familia.
Mitaa ambayo nitapata usafiri kirahisi.
Happy lishe ni unga wa lishe bora kabisa; uliyosheheni virutubisho vitakavyompa mtoto wako ukuaji mzuri wa mwili na akili.
Unga wetu unapatikana kwa bei ya Tsh. 4,000 kwa ujazo wa kilogram 1...
Habari za humu ndani nimejichanga nikaona sio mbaya kukusanya TV za mtumba na kuja kuziuza kwa wale wanaopendelea vitu vya mtumba.
Ninazo makampuni tofauti tofauti kuanzia Lg, PHILIPS, Hitachi na...
Kiwanja kipo kibaha kwa Mathias kidenge.vipo viwili
Kila kimoja ukubwa squire meter 400.
Bei kwa kimoja milioni tatu.
Kwa vyote viwili milioni 5.
Km 5 kutoka morogoro road
Barabara nzuri ya...
Habari Wakuu....
Poleni na majukumu...
Hihisi kila moja wetu anafahamu kwasasa ulimwengu wote upo online.
Basi Siku moja katika pitatita zangu za kufanya research ya bidhaa tofauti tofauti...
Habar wakuu, bilashaka natumai mu wazima wa afya tele.....!
Bila kupoteza tym naomba niende moja kwa moja kwenye point yangu, nimekuwa nikitaman kwa muda kuvaa saa ya smart ila nashindwa kufanya...
Kwa wanaohitaji viwanja ndani ya Dar es Salaam karibu Mbezi Makabe na Msumi.
1.Mbezi Msumi eneo limekatwa viwanja kadhaa kwa ukubwa tofauti kama ifuatavyo:
Mita 16*16 bei ni Tsh5,500,000/=
Mita...
Nauza YouTube channel Yangu link Yake
https://youtube.com/@afroafricaa
Ina Subcriber 128k
Ipo complete Na Adsensens Yake
Aina Ya Mauzui Niliyo Kuwa Na post Ni Comedy
Nipo Ubungo
Nicheke...
Tunu zetu Library tumekuwa kwa muda mrefu tukizienzi na kuboresha kazi za wakongwe wa fasihi ya kiswahili kwa manufaa ya kizazi kijacho. Baaada ya kuona maktaba nyingi hazina vitabu hivi...
Mostly welcome our beloved customers. Let us serve you with services such as;
House keeping
Gardening
Fumigation
Couriers
Security
General cleanness
Tunapatikana boko basihaya MKABALA na jengo...
Iko hivi mi nafanya kazi shirika fulan , huwa tunazurura mikoa mingi , kila mkoa huwa tunakaa at least miez sita .
Kwa sasa tupo DSM , nimechukua chumba mitaa ya KAM college Kimara korogwe...