samsung galaxy s4 kwa 670,000

samsung galaxy s4 kwa 670,000

Erick kg

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
314
Reaction score
73
brandnew samsung galaxy s4 kwa bei ya sh. 700,000...original sio feki wala mkorea nicheki kwa 0717 022737
 
Erick kg, kwa hiyo kama si mkorea imetengenezwa wapi?
Rangi gani? weka specs zote hapa mkuu . hata picha ikiwezekana...
 
Last edited by a moderator:
brandnew samsung galaxy s4 kwa bei ya sh. 700,000...original sio feki wala mkorea nicheki kwa 0717 022737

Samsung zinatoka Korea ya kusini. Sasa ya kwako kama haitoki huko ndio feki.
 
Mbona ya kwangu ni org na niya vetinam,
Na yarafiki yangu ni by samsung na iko poa, inamaana tumepigwa za shingo? nijuavyo mimi ni kwamba samsung org ni za korea lakini samsung galaxy org niza vetinam.
Mkuu sikuwa na tatizo la nchi gani samsung imetengezwa maana wana viwanda sehemu nyingi duniani hata ukiingia kwenye main website ya samsung itaku link kwenye websites za samsung kwa nchi tofauti tofauti, ila nilikuwa namkosoa kusema kuwa ni original sio feki wala Mkorea wakati Mkorea ni mwenye kampuni mama, ni sawa na kusema hii I phone sio ya Mmarekani, au HTC sio ya Taiwan wakati wao ndio wamailiki wa kampuni Mama na ndio waanzilishi
 
nimekusoma kiongozi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom