Toyota vista ardeo (vvt-i engine sio d4) inauzwa

Toyota vista ardeo (vvt-i engine sio d4) inauzwa

jonas2011

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
321
Reaction score
129
nauza vista ardeo
imetembea km 45373
engine n vvti..cc 1800
Ni ya mwaka 2002
ina namba CGA
unaweza angalia attachment photo
niliagiza mwenyewe nimeitumia kama miez 7 haija wahi tembea nje ya dar haina shida yoyote nauza nifanye issue nyingine
bei mil 9mil maongezi ypo
serious buy call 0783380123
 

Attachments

  • 03.jpeg
    03.jpeg
    41 KB · Views: 181
  • 06-1.jpeg
    06-1.jpeg
    32.2 KB · Views: 182
  • 04.jpeg
    04.jpeg
    27.9 KB · Views: 195
  • 15.jpeg
    15.jpeg
    30.8 KB · Views: 185
  • 22.jpeg
    22.jpeg
    28.3 KB · Views: 160
Weka picha zake halali.... hizo ilikuwa nje.na funguka zaidi kama upo seriaz tangazo j
Halijakamilika.
 
Weka picha zake halali.... hizo ilikuwa nje.na funguka zaidi kama upo seriaz tangazo j
Halijakamilika.
mkuu machine iko sawa kama uko serious just call uione kwa macho...nn zaid wataka nikujuze/nifunguke?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom