Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Huawei y300 ndani ya box nipeni bei ya kuuza.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
nauza samsung S3 mpya kama inavyoonekana kwa sh laki 6 na nusu mawasilano 0768808819 ama ni pm
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Ni Solar system nyepesi na yenye ubora tofauti na unazo zifahamu, ina kaa na chaji kwa masaa 8 baada ya kujaa na unao uwezo wakuichaji na umeme wa kawaida kama ukipenda. Tunakupa warantii ya mwaka...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
habari! Ninauza Mtungi wa gesi kg 30.5 no#9 nipo Magomeni na ninaweweza kukuletea ulipo bei maelewano unafaa kwa matumizi ya nyumbani, Gheto na hotelini mawasiliano 0658825141 0767279713 badilika...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
wadau kichwa cha habari chajieleza, bei yangu haizidi elfu 30. nipo dar es salaam,
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu!! Nauza simu aina ya samsung galaxy s3 original nyeusi, nimeitumia miezi 7, haina mchubuko kokote mwenye kuitaji tuwasiliane inbox. Sababu ya kuiuza; nimenunua s4 jana.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
solar power ndogo zenye nyaya ndefu na bulb zake mbili zina uwezo wa kukaa na chaji kwa muda wa masaa kumi na mbili kwa mawasiliano 0654 996561 ,ramsef550@gmail.com
0 Reactions
4 Replies
926 Views
Miguu 20*20 sh.mil5 Miguu 40*40 sh.mil10 Barabara safi ipo.. Nipm or txt;0656063933
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wajameni poleni na majukumu eti ofisi za tigo za kariakoo zipo sehemu gn????
0 Reactions
5 Replies
3K Views
hello,kama kuna anayeuza products za forever ,pliz naomba tuwasiliane kwa inbox yangu kuna product naihitaji
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Jaman naitsji gari ndogo kwa hiyo bei ila iwe kama vtz/starlet glanz,duet na zingine typ iyo kwa mil4
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Used HTC desire as it is on the pic for sale 300,000/-tsh,Contacts 0768808819 ama ni pm
0 Reactions
0 Replies
783 Views
nyumba inapangishwa maeneo ya tabata posta kwa bei poa ni self dining,vyumba full tiles ni mpyaa na master full parking ipo ndan ya geti call me 0652740304.nyumba ipo near barabara
0 Reactions
2 Replies
796 Views
Habari, kama unahitaji music system kwa ajili ya shughuli (faction) yoyote unapatikana kwa gharama nafuu saana!! ni mziki unaotosha kupiga sehemu yoyote na katika tukio lolote!! karibuni...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
nauza simu aina ya htc sencer good condition kwa bei poaa tuu laki 3 tu,simu iko poa pia kuna digital camera from uk casio yenye 16gb lens 12.1 ,16.2mplx na full package ni yakucharge ipo ktk box...
1 Reactions
0 Replies
919 Views
Kuna shughuli nataka kuifanya, yanipasa niwe na kampuni, kwa hivyo kama una documents za kampuni yeyote ambayo uliregister brela na kwa bahati mbaya haikufanya kazi yeyote mpaka sasa tafadhali...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
hey
Nice to meey you
0 Reactions
4 Replies
927 Views
kiwanja kizuri sana KINAUZWA maeneo ya mbezi beach tangibov karibu NA kanisa la Lutheran neo ni jk nyerere. kimepimwa kabisa NA hatimiliki za kiwanja zipo. NA unaweza kwenda wizara ya ardhi...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Heshima zenu wakuu,nahitaji fuel/petrol station ya mtu binafsi kwa ajili ya kukodisha! Maeneo ni dar es salaam,isiwe ya kampuni kubwa kama oilcom gapco puma etc! Mengine waweza ni pm. Asanteni
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kwa anaehitaji gari toyota i.s.t nyeupe,milleage 88,000km,cc 1490,automatic, engine VVT..i,nauza 11mil bei inapungua ni nzuri katika utumiaji wa mafuta 15km/litre.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…