Nahitaji Fuel station

Nahitaji Fuel station

faby

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
2,214
Reaction score
768
Heshima zenu wakuu,nahitaji fuel/petrol station ya mtu binafsi kwa ajili ya kukodisha! Maeneo ni dar es salaam,isiwe ya kampuni kubwa kama oilcom gapco puma etc! Mengine waweza ni pm. Asanteni
 
Bado nasubiria wakuu
 
Heshima zenu wakuu,nahitaji fuel/petrol station ya mtu binafsi kwa ajili ya kukodisha! Maeneo ni dar es salaam,isiwe ya kampuni kubwa kama oilcom gapco puma etc! Mengine waweza ni pm. Asanteni
mkuu funguka vizuri usaidiwe,

ukodishe kwa namna gani? kwa muda gani? pesa gani utakodisha kama ni kwa mwezi au kwa muda wote huo?
 
Mkuu nitakodisha kwa miaka mingi tu kama ikiwezekana
 
mkuu funguka vizuri usaidiwe,

ukodishe kwa namna gani? kwa muda gani? pesa gani utakodisha kama ni kwa mwezi au kwa muda wote huo?

Ikiwa inauwezo wa kuuza minimum 10000 liters per day basi nitakodisha for 6m per month,
 
kiongozi nimeku pm . nahangaikia suala lako kama tayari umepata nijulishe kwenye 0685 31 23 26
 
Last edited by a moderator:
mkuu hii yenyewe ya kukodi fuel station imekaa kitapeli tapeli, wacha waingizane mikenge!
mh! utapeli hapa uko wapi. katangaza kazi nimemjibu , acheni kudhalau kazi za wengine
 
Back
Top Bottom