Baraka Solar Kit

Baraka Solar Kit

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,594
Reaction score
1,863
Ni Solar system nyepesi na yenye ubora tofauti na unazo zifahamu, ina kaa na chaji kwa masaa 8 baada ya kujaa na unao uwezo wakuichaji na umeme wa kawaida kama ukipenda.
Tunakupa warantii ya mwaka na nusu.
Tuna bidhaa za ubora wa hali ya juu zenye warantii ya mpaka miaka 20!!
Zaidi Tembelea hapa Baraka Solar Specialist au FB Page Hapa

solar kit.jpg
Tupo Posta/CRDB Azikiwe
Simu: 0655727525/0764452424/0754710076
Email:info@barakasolar.co.tz
 
Ni Solar system nyepesi na yenye ubora tofauti na unazo zifahamu, ina kaa na chaji kwa masaa 8 baada ya kujaa na unao uwezo wakuichaji na umeme wa kawaida kama ukipenda.
Tunakupa warantii ya mwaka na nusu.
Tuna bidhaa za ubora wa hali ya juu zenye warantii ya mpaka miaka 20!!
Zaidi Tembelea hapa Baraka Solar Specialist au FB Page Hapa

View attachment 103545
PLEASE
PUT technical details....
1. Hayo masaa nane, ni kwa load ya ukubwa gani..???
2. What is the AH capacity of the batteries you use..??
3. Ar the batteries of deep discharge circle type..?? What is their DOD..??
4. What is the wattage capacity of the panels?
 
Toa specification zake. Panel ina watts ngapi, uwezo wa betri volt ngapi Ah ngapi, inawasha taa ngapi zenye uwezo kiasi gani. Hii itatusaidia kulinganisha na bei yako. Vinginevyo itakuwa tunajadili kitu tusichokijua. Weka wazi kila kitu mkuu.
 
Hii panel yake ina watts 15, na inawasha hizo bulb 2 unazo ziona hapo kwenye picha zina watts 3 kila moja, ina sehemu ya ku chajia simu na pweza yake unayo iona hapo, pia kama huchaji simu unaweza tumia radio ndogo hizi za betri 3 (or 4.5 voltage),pia kuna fern yake kama hutumii kwa radio au simu unaweka feni yake(DC fern) ina charging regulator kama inavyo onyeshwa hapo kwa asilimia tofauti, hii itamsaidia mtumiaji kujua matumizi yake na kama imepungua kiasi gani.

Hii haitumii betri za njee( external deep circle one), we nikuweka panel yako mahali penye jua au kama unaweza kuweka sehemu ambayo utakuwa una hama nayo kila muda ni uamuzi wako.

tunazo za aina nyingi, Backup za nguvu za mpaka siku 2, FULL SOLAR DC/AC GENERATOR Ambayo unaweza kutumia mpaka friji,tv,feni n.k Tupo Posta/CRDB Building au Wasiliana nasi kwa simu namba 0655727525/0764452424 au site yetu kwenye post hapo juu..

View attachment Copy of baraka generator.bmp
 
Tupo Posta/CRDB Azikiwe Mama JOE karibu saana na utaja simulia na utaja ona tofauti na nyingine unazo zisikia..
Tunakupa na warantii card kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom