Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,523
- 14,002
Wadau JF, Nataka kutuma dola 100 za Marekani kwenye akaunti ya benki inayomilikiwa na Organization moja huko Uholanzi.Je ni benki gani inayotuma pesa kwa gharama nafuu zaidi..??? Naomba msaada wenu please.!