Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,119
Wakuu salaam zenu... Natafuta yard au open plot ya kupangisha au hata kununua maeneo karibu na Bandari Dar es salaam ,,,kurasini,,,shimo la udongo ,,chan'gombe ,,temeke n.k. YENYE uwezo wa kuegesha magari makubwa manne au matano yenye uzio au hata wazi,, pia hata ya kuchangia na wengine ni PM au piga simu 0754646827