Shamba kubwa lenye ekari 66 kwa pamoja linauzwa maeneo ya Matimbwa Bagamoyo. Shamba lina hati tayari na linauzwa kwa pamoja kwa Tsh milioni 450.
Anayehitaji anipigie au anitext 0769142586 au...
Kwa mwenye gari tajwa hapo juu naomba tuwasiliane.
Sifa za gari:
1. Gari iwe ya milango mitano
2. Iwe manual
3. Hali ya gari iwe inaridhisha kwa muonekano wa ndani na nje
4. Bei yake isizidi...
Hello.
If u likes to buy surveyed plots in Mbutu, Tanzania. please feel free contact, info@kitomai.com +255 755 312 233 plot price 15,000/= per square meter These plots have sizes...
Wahi fursa ya pekee zimebaki Hekari 100 tu.
Zipo Igeleke - Mufindi.
Hekari moja ni Tsh 110,000/=, ukinunua nyingi unapata punguzo.
Wahi kabla haizijaisha.
Contact: 0687 022411
TOYOTA IST ya mwaka 2003 used lenye namba T ###CCY white colour ipo kwenye hali nzuri bei mil 11 maelewano yapo kidogo more info Pm ntakupa namba za mawasiliano incase ukitaka kuliona sorry kwa...
Nyumba inauzwa, ipo mazimbu oyster bay, morogoro.
Ina ukubwa wa 1,566 square meters vyumba 4, 1 self contained master bedroom na 1 self contained guest room; ina servant's quarter yenye vyumba 6...
Nauza laptop aina ya HP(HSNNC31C)pichani. Processor 2.00GHZ, Ram 1GB, BIT 64,DUO CORE, Hard disk 75GB, web cam NO!, DVD ROOM YES!, COLUR BLACK.. haina tatizo lolote, toka ianze kutumika hata...