Samsung galaxy s4 clone inauzwa

Samsung galaxy s4 clone inauzwa

Hv original na clone tofaut zake nn na je clone. Inakubali wasapu?
 
Original na Clone tofauti yake ni kubwa sana...
mfano:
1. Camera ya Original S4 ni megapixel 13 wakati clone wameandika 13MP ila inatumia Video Graphics Array ~ 0.3 megapixels!!
2. Applications za S4 zinatoka Playstore na ni Original Android Apps mfano 'Whatsapp", Clone inakubali baadhi ya Java Applications lakini 'Whatsapp' haitokubali sababu haipo kwenye Platform zinazoSupport Whatsapp!!
3. Internal Memory ya S4 inaanza 16GB, 32GB mpaka 64GB wakati Clone inakuwa majority na KB's (Kilobytes)..
4. Screen ya S4 Original ina Resolution kubwa ya HD 1080 x 1920 wakati clone 480 x 840 pixels..
5. S4 Original inatumia Bluetooth 4.0 wakati clone Bluetooth 2.0
6. Clone haina TV Out
7. Clone Haina NFC
8. Clone RAM yake 512 MB wakati Original 2GB
9. Clone inalimit Phonebook 500 entries wakati Original hailimit..
10. ukiConnect Clone kwenye computer haitasomwa na Samsung Kies, kama ina memory card ndani itasomwa kama Flash Disk!! etc....................

Conclusion: 'Honestly' Simu yoyote Clone ni mfano wa simu ya kawaida tu ya kupiga na kupokea, haitakuwa kama smartphone unayoitaka iwe!!
 
duh umetisha mkuu kama vipi chukua like.."Lyamber and 7 others like this"..in short clone ni fake..
 
Mkuu sikubaliani na ww, s4 clone nnayotumia mm ina vitu vingi tofauti na maelezo yako, ram ni 1gb,
Screen ni hd
Internal memory 16gb
Vitu vyote kutoka playstore navipata kama kawaida, whatsapp, viber, tango na kila kitu navipata.
Internet yake ni 3g na inakimbiza mbaya.

Wadau nunueni tu hizo clone kutoka kwa Mndengereko mtaenjoy
 
Last edited by a moderator:
Screen ni hd
Internal memory 16gb
Vitu vyote kutoka playstore navipata kama kawaida, whatsapp, viber, tango na kila kitu navipata.
Internet yake ni 3g na inakimbiza mbaya.

Wadau nunueni tu hizo clone kutoka kwa Mndengereko mtaenjoy
kwani atakayeenda kuinunua si atalogin Google account yake aone kama inakuwa recognised kwenye database ya android na atajaribu kudownload hizo program kama inafaa kama haikubali amrudishie muuzaji au akubali kulamba hasara. mi navyojua simu zote fake 'counterfeit' phones zimekuwa banned kwenye nchi nyingi dunia ikiwemo Kenya, India, Usa etc. huku kwetu zinaingia tu sababu wizara hazijishughulishi. Ila kwa hiyo bei 380k ukilinganisha na bei ya Original dukani 1.1mil nadhani itakuwa imemiss vitu kibao au vingine vya uwongo.
 
Original na Clone tofauti yake ni kubwa sana...
mfano:
1. Camera ya Original S4 ni megapixel 13 wakati clone wameandika 13MP ila inatumia Video Graphics Array ~ 0.3 megapixels!!
2. Applications za S4 zinatoka Playstore na ni Original Android Apps mfano 'Whatsapp", Clone inakubali baadhi ya Java Applications lakini 'Whatsapp' haitokubali sababu haipo kwenye Platform zinazoSupport Whatsapp!!
3. Internal Memory ya S4 inaanza 16GB, 32GB mpaka 64GB wakati Clone inakuwa majority na KB's (Kilobytes)..
4. Screen ya S4 Original ina Resolution kubwa ya HD 1080 x 1920 wakati clone 480 x 840 pixels..
5. S4 Original inatumia Bluetooth 4.0 wakati clone Bluetooth 2.0
6. Clone haina TV Out
7. Clone Haina NFC
8. Clone RAM yake 512 MB wakati Original 2GB
9. Clone inalimit Phonebook 500 entries wakati Original hailimit..
10. ukiConnect Clone kwenye computer haitasomwa na Samsung Kies, kama ina memory card ndani itasomwa kama Flash Disk!! etc....................

Conclusion: 'Honestly' Simu yoyote Clone ni mfano wa simu ya kawaida tu ya kupiga na kupokea, haitakuwa kama smartphone unayoitaka iwe!!
liar 100% acha kuongea vitu ambavyo huna uhakika navyo.
 
Weka Bei mkuu nimnunulie mpenzi wangu akanipe mzigo maana ananisumbuasumbua sana ila hapa ntajimegea kiulaini na mabusu kibao.
 
As long as hiyo clone ina run android, hiyo simu ina uwezo wa kutumia apps toka google play ikiwemo whatsapp. Sema kuna baadhi ya apps na games haitaweza kuzirun kwakuwa ina specifics ndogo kuliko origina s4. Lakini whatsapp, viber, instagram atazipata.
Original na Clone tofauti yake ni kubwa sana...
mfano:
1. Camera ya Original S4 ni megapixel 13 wakati clone wameandika 13MP ila inatumia Video Graphics Array ~ 0.3 megapixels!!
2. Applications za S4 zinatoka Playstore na ni Original Android Apps mfano 'Whatsapp", Clone inakubali baadhi ya Java Applications lakini 'Whatsapp' haitokubali sababu haipo kwenye Platform zinazoSupport Whatsapp!!
3. Internal Memory ya S4 inaanza 16GB, 32GB mpaka 64GB wakati Clone inakuwa majority na KB's (Kilobytes)..
4. Screen ya S4 Original ina Resolution kubwa ya HD 1080 x 1920 wakati clone 480 x 840 pixels..
5. S4 Original inatumia Bluetooth 4.0 wakati clone Bluetooth 2.0
6. Clone haina TV Out
7. Clone Haina NFC
8. Clone RAM yake 512 MB wakati Original 2GB
9. Clone inalimit Phonebook 500 entries wakati Original hailimit..
10. ukiConnect Clone kwenye computer haitasomwa na Samsung Kies, kama ina memory card ndani itasomwa kama Flash Disk!! etc....................

Conclusion: 'Honestly' Simu yoyote Clone ni mfano wa simu ya kawaida tu ya kupiga na kupokea, haitakuwa kama smartphone unayoitaka iwe!!
 
Mkuu Brakelyn sio kwel kwamba WhatsApp haikubali.
Mi hyo cm nmetumia,Playstore iko poa na utility apps ambazo zpo znakubali vzr Tu.WhatsApp,Instagram,na nyngnezo kali.
 
hizi clone nazo zimetokea aina nyingi.. kuna clone lakin zinasupport watsapp. viber, instagram na kuna clone hazisupport kabisa hiz applction.. kitu muhimu ni kupima mahitaji yako.
 
Weka Bei mkuu nimnunulie mpenzi wangu akanipe mzigo maana ananisumbuasumbua sana ila hapa ntajimegea kiulaini na mabusu kibao.
mkuu bei nimeweweka kwenye maelezo ya thread,ila kwa faida yako na member wengine bei yake ni 380,000 maelewano yapo nicheki kwa 0714061310 kama unahitaji mzigo
 
Haya jamani imebaki moja tu changamkieni dili bei 370k nicheki kwa 0714061310 maelewano yapo.
 
mkuu bei nimeweweka kwenye maelezo ya thread,ila kwa faida yako na member wengine bei yake ni 380,000 maelewano yapo nicheki kwa 0714061310 kama unahitaji mzigo

Zina Air Gesture mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom