Suzuki Escudo manual inahitajika haraka

Suzuki Escudo manual inahitajika haraka

kwemsangazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2013
Posts
260
Reaction score
87
Kwa mwenye gari tajwa hapo juu naomba tuwasiliane.

Sifa za gari:
1. Gari iwe ya milango mitano
2. Iwe manual
3. Hali ya gari iwe inaridhisha kwa muonekano wa ndani na nje
4. Bei yake isizidi milioni 5.5

Tuwasiliane kupitia 0754-342-034
 
mutu unakuta anajifanya anatafuta gari, unamletea gari yenye vigezo vyote kumbe hana pesa cash , anaanza kuleta za kuleta. pumba.v wote mnaojifanya mnataka gari mtafutiwe kumbe pesa yenyewe huna!

Kwa mwenye gari tajwa hapo juu naomba tuwasiliane.

Sifa za gari:
1. Gari iwe ya milango mitano
2. Iwe manual
3. Hali ya gari iwe inaridhisha kwa muonekano wa ndani na nje
4. Bei yake isizidi milioni 5.5

Tuwasiliane kupitia 0754-342-034
 
hizi gari zipo 2 moja ipo mbagala ingine ipo kinondoni , nakupigia hupokei utakapokuwa tayari utanicheck kwenye 0685 31 23 26
 
hizi gari zipo 2 moja ipo mbagala ingine ipo kinondoni , nakupigia hupokei utakapokuwa tayari utanicheck kwenye 0685 31 23 26

jamaa tapeli nadhani alikuwa ana beep kama hapa watu wako kijiweni au wanafanya kweli.
 
Mnisamehe wadau pale nilipowakwaza kwa kutokupokea simu... gari imeshapatikana!!!
 
kaka namba yangu ya sim ni plus 818058906644 
 
Back
Top Bottom