Nahitaji waalimu wa kufundisha mambo ya Garden Designing na Landscaping

Enny

JF-Expert Member
May 26, 2009
962
130
Natafuta watu wenye ujuzi wa mambo ya bustani na landscaping ambao wapo tayari kufundisha kazi hizo.
 
Mkuu kwa maswala na mahitaji yote ya gardening and landscaping "YEGO BROTHER'S GROUP" itafikisha hitaj lako kileleni... Hii ni kampuni ya kitanzania imefanya kazi na makampuni mbalimbali ya kimataifa na ya ndani pia na imesajiliwa kwa nambari 271248........ Unaweza link hapa http// hestonejr@yahoo.com.
 
Back
Top Bottom