Mashamba ya kupanda miti - Mufindi.

Mashamba ya kupanda miti - Mufindi.

MansaMusa

Senior Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
103
Reaction score
13
Wahi fursa ya pekee zimebaki Hekari 100 tu.

Zipo Igeleke - Mufindi.

Hekari moja ni Tsh 110,000/=, ukinunua nyingi unapata punguzo.

Wahi kabla haizijaisha.

Contact: 0687 022411
 
Niambie umbali kutoka mufindi mpaka Igeleke kilometa ngapi?pili naomba uniambie Bei za mbegu za miti ya Painas hapo Iringa tsh ngap kwa kilo?baada ya hapo kupata majibu ndo nifanye uamuzi wa kukupigia
 
Back
Top Bottom