Iphone 4 locked kwa tele2 sweden inauzwa ni black na ina uwezo wa gb 16,jailbroken device kwa hivyo unaweza install any iphone apps, still in good condition,haina mikwaruzo,ina run ios...
Habar JF,
Ninauza mayai ya kuku wa kisasa, makubwa, mazuri, masafi yenye ujazo. Mahali ni Arusha, Sakina.
Bei ni 6,000 kwa tray na ukiagiza tray nyingi utaletewa ulipo kwa wakaz wa Arusha...
Habari za Leo wakuu?!!! Kama kichwa cha bhabari kinavyojieleza, hatimaye zile chenji chenji zimefika mbali nahitaji miongoni mwa magari haya Spacio ya 2001/2002, rav 4 short chasis, Raum, Opa n.k...
habar jf,
Ninauza gari aina ya Isuzu Trooper station wagon.
Model 1993,
Manual transmission with 4WD,
ina 2700cc,
imetembea 150,000kms,
Haina tatizo lolote.
Ipo Arusha.
Bei ni 9M.
Mawasiliano...
KAZI HIZIHAPA! UMECHOKA KUTAFUTA KAZI PIGA SIMU NO#0658825141 UJIAJIRI MWENYEWE KWA MTAJI MIDOGO!
UNAWEZA UKAISHI TOWN KWA UJANJA HUTAKUA MACHINGA WA VITU VYA WACHINA ILAUTAKUA MJASIRIAMALI MWENYE...
kiwanja kinauzwa, 800 square metres, mbezi kwa Msuguri, karibu na shule sekondari ya Msigwa. Umeme na maji vimefika. Gari linafika pia,
Bei ni 8m.
Contacts 0786-305664
Kiwanja kipo wilaya ya Temeke Amani gomvu ni umbali wa km 23 kutoka kigamboni. kiwanja kimepimwa na kina offer
bei ni sh 7,500 kwa sqm 1, mbali na kiwanja hicho kuna viwanja vingine 3 katika...
Wasalaam,
Natafuta ngazi zilizotengenezwa kwa kamba na mbao/mti kwaajili ya matumizi ya nyumbani.
Naomba kwa anayefahamu kunifahamisha wapi naweza kupata jijini Dar es Salaam Tanzania...
Gari lipo Dar es salaam liko kwenye halo nzuri Ni Toyota sprinta xe vintage AE 111
engine capacity Ni 1498
la mwaka 1998
kwa mwenye kuhitaji awasiliane na Mimi kwa 0714064767 simu haiwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.