Kiwanja cha sqm 4,000 kinauzwa kipo temeke amani gomvu .

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
Kiwanja kipo wilaya ya Temeke Amani gomvu ni umbali wa km 23 kutoka kigamboni. kiwanja kimepimwa na kina offer
bei ni sh 7,500 kwa sqm 1, mbali na kiwanja hicho kuna viwanja vingine 3 katika eneo hili kipo cha sqm 3,000 na sqm 2,000 vipo viwili.

KIWANJA CHA SQM 4000 Tsh 30,000,000
KIWANJA CHA SQM 3000 Tsh 22,500,000
KIWANJA CHA SQM 2000 Tsh 15,000,000

Kuna umbali wa km 3 kutoka sehemu vilipo viwanja hivi na beach ya amani gomvu. eneo ni tambalale na kuna upepo mzuri unavuma toka baharini kwa mwenye kuhitaji viwanja hivi au vingine vingi tuwasiliane 0657 145555 na
0686 200 117 Akiri
 
viwanja bado vipo na vipo karibu na barabara . ni mbele ya gezaulole
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom