Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wana Jf nina gunia 50 za mahindi, yenye ujazo wa debe 7 kwa kila gunia. >> Nauza Tsh 65,000/= kwa gunia. >> Nipo Mafinga mjini. >>> Price is negotiable CONTACT: 0769 877 495
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Anayeuza case ya 7inch tablet ambayo inainclude keyboard naomba anijulishe tafadhali
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Bei ya kutupa viatu toka dubai, call 0712112135
0 Reactions
9 Replies
2K Views
habari zenu wakuu. natafuta simu tajwa hapo juu iliyo na specifications zifuatazo. iwe Brand New Sealed kwenye box, 16GB Capacity, color Silver, Factory Unlocked, na ya bei nafuu. kama unayo au...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Call me on 0712868178
0 Reactions
0 Replies
623 Views
nina toshiba table t100 imearibika mkanda tu na kidude cha kuwashia,ila inawaka...lete ofa yako na kama una smart phone tunaeza badilishana.IM SERIOUS UTANI WEKA PEMBENI.
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wadau! naomba ushauri juu ya aina ya simu ya kununua napenda tecno lakini zipo aina nyingi! je nia gani nzuri na ya bei nafuu. napenda sana internet nk.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji Windscreen ya Suzuki Wagon R. Model ni ile ya milango mitatu.
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Noah iko kwa hali nzuri kabisa imetwmbea km 147500 bei M9 NEGOTIATABLE\ SIMU 0767931887 KITU IKO ARUSHA
0 Reactions
12 Replies
2K Views
kutokana na tatizo la umeme kukatika sasa, ulirudi kwaksi sana na kuchoma friji la kiofisi changu jana wakuu, mwenye friji dogo ya wastani isiyozidi laki na hamsini na iwe na uwezo wa kugandisha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Galaxy note2 used one mouth 780 tsh complete chek me 0714767955
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Natafuta HtC disire s..mwenye nayo aweke bei...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
habar, nahitaji friji ndogo, iliyo katika hali nzuri 0786 305664
0 Reactions
0 Replies
788 Views
:A S confused:Kiwanja kinakatwa mita hizo 20*20! kinauzwa mil.5,barabara ipo gari linafika. Anayetaka ani PM au anitxt 0788272824.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wakuu naitaji samsung galaxy s3 ambayo siyo CLONE.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naitaji sony experial x10i ilio in gud condition kwa bei nzur
0 Reactions
0 Replies
737 Views
iwe na vitu vifuatavyo RAM2gb,procesor2ghz dvdrom hdd isipungue 160,iwe inakaa na chaj
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau naomba kupata mtu anayeuza aina hzo za simu. Bei iwe nzuri.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana jf,natafuta nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili vya kulala ,sittingroom,choo na jiko bajeti yangu ni 250000 tu.kwa anayefahamu zilipo naomba anijulishe
0 Reactions
3 Replies
889 Views
Back
Top Bottom