TV flat screen inahitajika fasta

TV flat screen inahitajika fasta

Mamndenyi

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
44,689
Reaction score
64,727
Salamu sana wana bodi.

Nahitaji tv flat screen 21 inches;

Kwa leo niko bongo.
 
Wahi pale mlimani city saa nne kamili kabla hazijaisha!!
 
Siyo leo tu, siku zote upo bongo. Nenda kariakoo ndiyo utapata kwa bei nzuri. Kama utaamua kwenda kariakoo utanipigia kwenye 0769142586 nikuelekeze mahali utapata kwa bei nzuri lakini kuanzia saa nne asubuhi(usipige muda huu).
 
Mamndenyi upewe nini tena mpaka hapo? misaada kedekede.
Nadhani imebakia njemba moja tu kutoa ofa kuwa atamalizia malipo. Tehe tehe tehe tehe.....
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi upewe nini tena mpaka hapo? misaada kedekede.
Nadhani imebakia njemba moja tu kutoa ofa kuwa atamalizia malipo. Tehe tehe tehe tehe.....
 
Last edited by a moderator:
Asanteni sana kwa maushauri;
Nashukuru sana kwa kuwa mmejali ombi langu.
chama eeeh umeona majibu ya hekimatele hapo juu. Kazi kwako thatha.
 
Last edited by a moderator:
Asanteni sana kwa maushauri;
Nashukuru sana kwa kuwa mmejali ombi langu.
chama eeeh umeona majibu ya hekimatele hapo juu. Kazi kwako thatha.

Huyo chama mpaka sasa bado hajalipia tu hiyo TV?
Au P Square walimkamua mahela wkend? Tehe tehe tehe...
Beautiful Onyinye Mamndenyi tulia tuli. Kuna njemba naona inaangalia muamala kwenye account pale CRDB Azikiwe.
Mpe mda
 
Last edited by a moderator:
Asanteni sana kwa maushauri;
Nashukuru sana kwa kuwa mmejali ombi langu.
chama eeeh umeona majibu ya hekimatele hapo juu. Kazi kwako thatha.
Mamndenyi
Usisumbuke na hekimatele angeuliza kwanza hiyo tv "21" inahitajika kwa matumizi gani; siku nyingine weka vitu wazi ili wadaku na wambeya wakose la kusema; kwa ufupi inahitajika kwa ajili binti mpya wa kazi naye ajione yupo mjini!
 
Last edited by a moderator:
Huyo chama mpaka sasa bado hajalipia tu hiyo TV?
Au P Square walimkamua mahela wkend? Tehe tehe tehe...
Beautiful Onyinye Mamndenyi tulia tuli. Kuna njemba naona inaangalia muamala kwenye account pale CRDB Azikiwe.
Mpe mda
hekimatele tv "21" anatumia nani siku hizi? hatuna muda wa kujipofua macho!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom