Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ni pm tufanye biashara.
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Habari ndugu wana jamii forum! Napenda kuwatangazia kua kampuni ya Chinaworldbuz (CWB), yenye makao makuu Shanghai- China, Inaenda kufunguliwa mwezi ujao jijini Dar es Salaam, kwa sasa kampuni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nawatafuta wakusanya madeni - debt collector / brokers Wakuu salama ? naomba msaada wa haraka kuwapata licensed brokers au madalali wenye leseni maalum kwa kukusanya madeni kwa kulipwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji wafanyakazi kazi inahusiana na customer service? kuuza duka na zingine utaelezwa baada ya interview, kigezo kikubwa uaminifu, kujua mahesabu, shule ni an added advantage, umri vijana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
nauza samsung galaxy S4 white mpya, nimeletewa. am selling it coz i got extra two phones tayari so siwezi kuwa na simu ya 3 zote.haina hata week. laki nane na hamsini (850,000)tsh
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji pikipiki ya kununua kwa bajeti hiyo hapo juu. Iwe TOYO au SAN-LG). Nipo Arusha
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Bajaj 2 stroke inauzwaa imetumika lkn ipo ktk hali nzuri rangi yake ni blue,kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane haraka namba 0715 751515 au 0713 705360
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina iphone 4s original naiuza 418,000/= au kama una nokia lumia yeyoye nzuri tunadilishane. Ni pm tuwasiliane utaipenda imetumiaka mwezi mmoja tu. Lumia625, 620, 800, 520 nk ila mtaniongezea na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Heshima kwenu wana jamvi,kichwa cha habari kinajieleza,cjui sana kuhusu magari wadau kama kuna yoyote anaeuza ama anawezakunisaidia kupata rav 4 milango mitano,rangi c inshu iwe haijapata...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
ipo mtaa wa mlandege sokoni kwa mawasiliano ya bei piga 0655 088055
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Naomba wenye uzoefu na haya magari wanisaidie ni gari ipi iko comfortable na operating cost ipo chini ukiachilia mbali matumizi ya mafuta. Magari ni kati ya Toyota Land cruiser Prado RZJ95/VZJ95...
0 Reactions
38 Replies
12K Views
Toyota noah Automatic transmission Black color 1980 cc Petrol engine 1AZ engine Tsh 13 millions tu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana jamvini napenda kuwasilisha kwenu: mimi ni wakala wa OIL NA GREASE inayotengenezwa na kampuni ya kichina inayoitwa SINOPEC kutokana na utafiti uliofanywa unaonesha wazi ya kwamba china ndio...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwanza nishukuru wale wote mlionitafuta baada ya kupata news nauza magar humu JF na ambao tumeweza fanya biashara kabisa nawashukuru sana. Sasa hivi kuna Benz mpya inauzwa macho ya panzi kama upo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna Mark X ipo imetoka bandarini sio muda hio bei yake 19.5mil, Toyota Passo 8.5mil mpya pamoja na Kluger 23mil. Kama ww ni mteja serious tutafutane kwenye simu tufanye biashara, mengine pia yapo...
1 Reactions
43 Replies
7K Views
Jipatie tecno n7 kwa 220000, imetumika kwa wiki mbili tu! Haina tatizo lolote haina michubuko ya aina yoyote,ina kava moja na smart cover moja, ina kila kitu head phone, charge na pia box...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wapendwa, LUSH GARDENS, A Development Project by Investrek Limited Dear Sir/Madam We are delighted to introduce you to a new development project called LUSH GARDENS, which is located at...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nauza shamba la ekari hamsini lipo visiga nusu kilomita kutoka barabara kuu,lina miembe ya biashara 300,michungwa na minazi!kuna nyumba kubwa ya kuishi na servant house!liko tambalale na oevu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hello guys nipo na iPhone 4 kioo cha mbele kime crack, so mwenye simu mbovu aniuzie kioo tafadhali PM for the deal!
0 Reactions
9 Replies
5K Views
wadau wa jf, kjana mwenzenu nmepata fursaa ya kufungua bsrbershop maeneo ya kkoo mtaa wa masasi na likoma, karibu na kanisa la kkt (eben view hotel). karbun wote mtapata huduma zenye kiwango km...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…