mosesnicolus
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 285
- 26
View attachment 123815nauza samsung galaxy S4 white mpya, nimeletewa. am selling it coz i got extra two phones tayari so siwezi kuwa na simu ya 3 zote.haina hata week. laki nane na hamsini (850,000)tsh
China product I guess, makubwa huenda ina kwikwi tayari
ww mimi situmiagi vitu vyenu hivyo vya slope, sema huna kitu arosto imekubana
Hiyo ni bei ya Note III N9006.
ww mimi situmiagi vitu vyenu hivyo vya slope, sema huna kitu arosto imekubana
ww mimi situmiagi vitu vyenu hivyo vya slope, sema huna kitu arosto imekubana
wewe unavyojiona huwo msemo wako hupo sawa kibiashara? huliza swali utajibiwa not otherwise , hiv ni vitu vya kawaida.haina p
Sasa mbona unajiquote mkuu? Kweli wewe ni mjanja aisee lol
we muuzaji hamnazo yani shida zako zinakufanya uuze halafu matusi watoa mwenyewe. Kuna biashara kweli hapo.
Hakuna cha wizi wala nini.ya wizi?