• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Kioo cha iPhone 4

iDestSparta

iDestSparta

Senior Member
Joined
Oct 24, 2013
Messages
170
Points
195
iDestSparta

iDestSparta

Senior Member
Joined Oct 24, 2013
170 195
Hello guys nipo na iPhone 4 kioo cha mbele kime crack, so mwenye simu mbovu aniuzie kioo tafadhali

PM for the deal!
 
baraka607

baraka607

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
847
Points
195
baraka607

baraka607

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
847 195
Mkuu kariakoo nikupeleke sehemu vinauzwa 70,000
Mbona hata simu kuna sehemu unakuta laki moja sehemu nyingine laji tatu. Ubora ndo unaotofautisha. Me silazimish anunue kwangu ila akihitaj aje pia.
 
M

mfocbsjut

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Messages
403
Points
225
M

mfocbsjut

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2011
403 225
Mimi natafuta kioo cha galaxy note 2 nitapata wapi na bei gani?
 
G

gsmsolution2009

Senior Member
Joined
May 7, 2013
Messages
122
Points
195
G

gsmsolution2009

Senior Member
Joined May 7, 2013
122 195
kioo cha iphone 4 tsh 50000 na cha galaxy s2 tsh 200000
 
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
9,442
Points
1,500
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
9,442 1,500
Duh
200000?
 

Forum statistics

Threads 1,403,385
Members 531,207
Posts 34,422,012
Top