Wakuu Sim mpya inauzwa toleo la mwezi April Mwaka huu
Sim hii inatumia line 2 zote zinafanya kazi wa wakati mmoja
Iko poa kabisa nimeitumia hardly wk 2
Details za sim ni kama inavyooneka hapa...
Kwa wale wapenzi wa HTC, leo nawaletea kwenu mzigo mpya kabisa wa HTC one VX kwa bei ya Tshs. 550,000/=.
Baadhi ya features za hii simu ni hizi hapa:
MEMORY Card slot - microSD, up to 32 GB...
KWA WAFANYABIASHARA YA BAA Naam ndugu ninataka kushirikiana na mtu ambaye anapenda kufanya biashara ya baa eneo lipo Dar essalaam ilala barabara ya kawawa linavutia sana kwa kufanya...
Wana jamvini napenda kuwasilisha kwenu:
Mimi ni wakala wa OIL NA GREASE inayotengenezwa na kampuni ya kichina inayoitwa SINOPEC
kutokana na utafiti uliofanywa unaonesha wazi ya kwamba china ndio...
PRESS RELEASE
Catholic Relief Services (CRS) Tanzania launches soybean value chain project Soya ni Pesa (SnP)
CRS announces an event to formally launch of the Soya ni Pesa (SNP) project...
Napenda kupangisha nyumba hii kwa mabachelor 4 ambapo wawili watapanga vyumba kwa shillingi 180000 kila mmoja na wawili walobaki mmoja atapanga kwa shikingi 200000 ambacho ni master na mwingine...
Nyumba ina vyumba 4 vya kulala iko maeneo ya mbezi beach samaki wabich na iko barabarani. Nyumba imezungukwa na huduma zote muhim kama vile hospital na nyinginezo, ina maji na umeme.
Kama...
Shamba lina ukubwa wa hekari kumi gari linafika mpaka shambani, bei ni shilingi milioni hamsini tu kwa zote haipungui, huduma za maji umeme zipo, mawasiliano, nipigie kwa simu namba 0717 000 990
Natafuta maduka ya vyakula au yenye biashara yeyote ambayo unaweza kuweka freezer kwa ajili ya kusambaza nyama baridi(frozen meat)kama kuku,ngombe na batamzinga.Freezer hizo tunazigawa kwa wenye...
Nauza Toyote Progres NC250
Colour: Silver
mileage: 112000km
YOM: 2001
Condition: Very good and running.
Maintenance: Done as per OEM
Nimelinunua 2011 na sasa naona ni wakati mzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.