• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Kwa mahitaji ya ya oil na grease

J

jarife

Member
Joined
Nov 21, 2013
Messages
6
Points
0
J

jarife

Member
Joined Nov 21, 2013
6 0
Wana jamvini napenda kuwasilisha kwenu:

mimi ni wakala wa OIL NA GREASE inayotengenezwa na kampuni ya kichina inayoitwa SINOPEC
kutokana na utafiti uliofanywa unaonesha wazi ya kwamba china ndio imeshika soko kubwa sana la mashine na vipuri vya namna mbalimbali , inasadikika ya kwamba asilimia 95% ya mashine ,vipuri na vifaa vya nyumbani vinatengenezwa china kupitia makampuni makubwa ya kimagharibi yaliyowekezwa china, hivyokufanya china kuwa soko na sehemu ya viwanda vikubwa, hivyo basi pia wanatengeneza OIL NA GRease za aina mbali mbali katika kutimiza mahitaji ya viwanja sambamba na mashine au vipuri.
kwa sasa kampuni ya SINO PEC ipo nchi zaidi ya 60 katika dunia, hii ni kutoka na na ubora wa bidhaa, ikishindana na FUTCH kutoka ujerumani ambayo imeteremka kutoka nafasi ya 4 katika soko mpaka ya 8 na SINO PEC inashika nafasi ya 4 katika soko la dunia katika vilainishi(lubricants) kwa Tanzania, ni kampuni ya KASELEKO AND COMPANY ndio inasambaza bidhaa hiyo ikishirikiana na SHIN UP LTD ambao ndio waagizaji wa bidhaa hiyo. kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa simu:
0767 826868/ email:peter7tz@yahoo.com au tembelea mtandao: ???? au search kwenye google kwa kuandika sinopec.

kwa yeyoye mwenye mawazo , swali,hoja, nyongeza au ushauri na kutaka bidhaa hiyo, tuwasiliane.
 

Forum statistics

Threads 1,404,416
Members 531,599
Posts 34,453,112
Top