Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Betri imeisha kabisa ukiichagi inaonesha alama x kwenye ile alama ya betri,sensor imestuck na housing imechoka sana. Ukimeo wake ni huo tu. Unaweza kuitengeneza na kuitumia vizuri tu. Haya nipeni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sofa1 ya watu3 na mbili za mtu1 pamoja stand ya Tv flatscreen. Ni PM au txt-0656063933
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Wakuu,ni na heavy duty photocopyin machine( canon) mpyaaa,full box naiuza. 1 4.m.anyone. interested ani pm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunapamba kumbi mbalimbal kama unahitaji wasiliana nami kidoti nsupa karibun
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu,nahitaji mbwa iwe German sherphad au Bull dog..Kama Yuko full trained nashukuru na vile vile Kama bado poa..
0 Reactions
33 Replies
6K Views
HAbari wanajukwaa, ninaomba nisaidiwe fixing unit ya Canon IR 2800/ 3300, yangu imekufa subthermistor.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kiwe selfcontainer ,kisiwe mbali na barabara...baruti,kona rombo itakuwa poa zaidi
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Bei inaanzia .150 M.mazungumzo yapo Mtaa ni Lituhi street nyumba ina GET 2 MAJI UMEME Tel 0655 841348
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Msaada wa-JF jinsi ya kuweka AVATAR, jina, picha n.k
1 Reactions
0 Replies
726 Views
Km nilivyoandika hapo juu,King'amuz cha startimes kinauzwa pamoja na antenna yake.Bei 80,000/=nipo Dar.Nataka kuamia Azam!Ni pm if u're interested
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau JF, Natafuta msichana/mama wa kulea mwanangu(Lengo ni kumuandaa MTOTO ana umri wa miaka 4 kwa ajili ya shule anasoma Chekechea Tanga School,kumsindika shule na kwenda kumchukua shule saa...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
viwanja vinauzwa kigamboni eneo la Gezaulole,mwongozo na Bamba beach .vimepimwa na vina offer .for information contact 0713959290
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau heshima yenu...nahitaji mashine ya kufyatulia tofali za block USED ni bora kwangu kwa ofa nzuri. na hata kama kuna vibao vyake tutaelewana...nipo Dar asanteni
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nauza samsung gt-b5512.tshs.180000(nego.)0659626782 leteni ofa kitu kipyaaa kasoro boksi tu
0 Reactions
1 Replies
618 Views
Mambo vipi wakuu? Nauza headphone za beat with dr dree ni used but ni orginal from usa nauza kwa elf 30 tu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama kuna mtu anayo hii please PM me with your best offer. Thanks
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Wakuu nina Chumba kimoja na kakorido hivi napangisha (sio self) Gharama ni nafuu kabisa tsh 600000 (laki sita tu) kwa Mwaka Nyumba iko jarani kabs na huduma muhim Nyuma inapakana na Zahanati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
najua humu tumeachwa watabe na wana ICT wamehamia mashariki ya mbali ambako wengne ni ngum kufika ila kipoint changu ni kwamba hata sisi huku seblen tuendelee kujadili tu na haya mambo ya pd na TG...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari Vijana nahitaji router ya kununua kwa matumizi yangu ya nyumbani, kwa mwenye nayo aje tufanye biashara
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza line ya wakala wa MPESA, zipo sim card zote mbili (Management na Till) zinatumika hadi sasa. Bei ni laki na nusu (150,000/=). Mwenye kuhitaji anitafute, nitumie pm.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom