Pandamlima
Senior Member
- Feb 27, 2013
- 143
- 13
Wadau heshima yenu...nahitaji mashine ya kufyatulia tofali za block USED ni bora kwangu
kwa ofa nzuri. na hata kama kuna vibao vyake tutaelewana...nipo Dar
asanteni
kwa ofa nzuri. na hata kama kuna vibao vyake tutaelewana...nipo Dar
asanteni