Nauza head phone za dr dree

Nauza head phone za dr dree

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,980
Reaction score
9,895
Mambo vipi wakuu? Nauza headphone za beat with dr dree ni used but ni orginal from usa nauza kwa elf 30 tu...
 
My number is 0767 035716 niko sinza hapa
 
nilikua nahitaji za jay z kama utakua nazo mkuu
 
Mambo vipi wakuu? Nauza headphone za beat with dr dree ni used but ni orginal from usa nauza kwa elf 30 tu...

Ulizinunua bei gani mpya? Zile real USA zinauzwa bei mbaya labda wewe ulinunua feki za wachina.
 
Atleast zipeleke kwa ma Dk wenzie pale Muhimbili, Zitakua za kitabibu
 
Huna za dr kitila maana nasikia ni nzuri san hizo
 
Kwa hiyo bei kiongozi sidhani kama ni orginal hiyo kitu. Kitu original zikiwa mpya zinaanzia $150 hadi $500 kulingana na specification, wee unasema unauza elfu 30??!!! hizo lazima ni mchina aisee
 
Ulizinunua bei gani mpya? Zile real USA zinauzwa bei mbaya labda wewe ulinunua feki za wachina.

nilinunua usd 150... ila nimezitumia sio mpya
 
Basi itakua umezitumia zimechakaa haswa hadi zifike elfu 30
 
Back
Top Bottom