Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,004
Wadau JF,
Natafuta msichana/mama wa kulea mwanangu(Lengo ni kumuandaa MTOTO ana umri wa miaka 4 kwa ajili ya shule anasoma Chekechea Tanga School,kumsindika shule na kwenda kumchukua shule saa sita mchana na kumrudisha nyumbani mitaa ya Dunia Hoteli mpaka mama wa mtoto atakaporudi kazini saa 10 jioni,baada ya hapo mhusika atatakiwa kwenda nyumbani kwake siku za shule ni Jumatatu hadi Ijumaa.
Sifa za mlengwa:
Awe na mapenzi mema kwa mtoto
Awe anaishi jirani na maeneo tajwa hapo juu
Baada ya saa 10 jioni atatakiwa kurudi nyumbani kwao.
Mshahara:
Makubaliano.
Kwa aliye tayari tuwasiliane 0787140432 au ani PM.