HUAWEI ASCEND Y300
WCDMA Mobile Phone
4.0-inch WVGA 16M TFT Capacitive Touch Screen
5.0MP Camera with Autofocus and Flash
Dual-core 1.0Ghz CPU
AndroidTM OS 4.1
HSPA/WCDMA
Fast Boot.
Utapewa...
Habari wakuu, mwenye gari tajwa hapo juu na anaiuza basi awasiliane nami, budjet yangu ni 6m, iwe katika hali nzuri na haijawah kupata ajali, hela ipo cash, biashara leo leo. namba ikiwa B itakuwa...
Year: 2002
Milleage: 98000
1490cc
Full paid insuarance n road licence
Autolocking system
Full a/c
AM/FM radio/ CD player
Bei 9.5mil negotiable
0716398757
Serious buyers
OFA MAALUM YA MODEM YA 3G YA VODACOM KWA AJILI YA INTERNET.
Ndugu Wakala,mfanyabiashara,wanafunzi, mkuufunzi,walimu na wafanayakazi wa ngazi mbalimbali,
Je unahitaji modem kwa ajili ya...
Natafuta eneo lililopo mabondeni au lisilo bondeni lakini liwe tambarare - eneo lenye rutuba. Lenye ukubwa usiopungua ekari 2 (2-10). Nataka nipande nyasi za ng'ombe.
Eneo lenyewe liwe vijijini...
Ipo Zanzibar mtaa wa Nyarugusu karibu na uwanja wa mpira Kimara,jirani na shule ya msingi Kinuni.
Imejengwa nusu vyumba 3,jiko,choo,ina maji ndani,umeme haina haja ya nguzo,.
Bei maelewano
Tumia mitandao unayoipenda kama JF, Facebook, Google au mtandao wowote mwingine huku ukiwa unalipwa na Perfect Internet kupitia mradi wa Perfect App.
Kuchangamkia fursa hii ambayo iko wazi...
Samsung galaxy pro dous Young
Bei : 120,000
Ipo kwenye hali nzuri na haina mikwaluzo..
Kama upo tayari kufanya biashara ni pm..
Text and whatsapp 0785673240
Thanks jf members..!!
Habar wa jf
Mwenye kulengwa na kichwa cha habar hpo juuu aniPM bei yake,napendelea iwe mpya kabsa,bt hata kama unayo used usisite nipa bei na uchakavu wake nambie
Wakuu nauza mirunda iliyotumika. Nimeitumia kumimina slab ya nyumba yangu.
1) Sehemu ilipo: Kigamboni (kibada) jirani na full shangwe kwenye plot za serikali.
2) Idadi: Ipo mirunda 600
3) Urefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.