Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau wa arusha natafuta nyumba ya kupanga hasa maeneo ya njiro au kijenge mwanzo mwanzo.offer yangu ni 150,000 mpaka 200,000.zaidi ya hapo itategemea vigezo maalum kama muda mfupi wa kulipa...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Nauza networking switch(D-Link DES-1024D).Zipo na nyingine pia za iana mbalimbali
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Habari wadau wa jf hii ni fursa tosha kwa wasanii wote wenye nyimbo zao, Tutumie sasa wimbo wako tukutangazie bure. Tuma kupitia Email hii kisusim31@gmail.com au tembelea blog yetu ambayo ni...
1 Reactions
0 Replies
944 Views
wadau polen nakuwajibika nombeni msada kwa anaye jua bei yamasine zakukamua mafuta ya halizeti na mahali zinapo uzwa mm nipo dar es salaa natanguliza shukran ktk ilo
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Haya tena kwa wenye kutaka mabegi ya ngozi ya orignal toka ulaya wawasiliane na mimi kwa Email yangu hii fewgoodman@hotmail.com hata ukitaka kwa bei ya jumla nitakufanyia discount ya malipo. Oneni...
8 Reactions
41 Replies
17K Views
Simu ina miezi miwili toka niinunue dukani, haina tatizo lolote, kwa anayehitaji anicheck kwa 0714 417641, pia nicheck What's app kwa namba hiyo tufanye biashara.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naitaji vyumba viwili vizuri, maeneo ya fuatayo kawe, mwenge, sinza, magomeni, kinondoni mwenye navyo PM tufanye biashara Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
652 Views
modem nzuri ni kama hii yenye sifa zifuatazo:- i) ikubali mitandao yote ii) iwe na speed isiyopungua 7.2Mbps iii) iwe na sehemu ya kuweka memory card iv) iweze kupokea au kupiga simu pindi...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Aina: Apple mac Book RAM: 4GB Processor: 2.5GHz Hard Disc: 500GB WEBCAM: 720p HD Camera OTHER: Wi-fi wireless networking Bluetooth 4.0 wireless technology PRICE: 380,000...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu nahtaj kujua wap naweza pata modem aina hyo katika maduka yetu?
0 Reactions
0 Replies
719 Views
hi
wadau polen nakuwajibika nombeni msada kwa anaye jua bei yamasine zakukamua mafuta ya halizeti na mahali zinapo uzwa mm nipo dar es salaa natanguliza shukran ktk ilo
0 Reactions
1 Replies
654 Views
Wakuu habari zenu na poleni na miangaiko,Happy new year,wadau natafuta sehemu ya kukodisha kwa ajili ya Car wash na tyre fitting,naangaika mwezi wa pili sasa,na pia kuna sehemu zingine rent ni za...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
anayeuza line ya tigo pesa anicheki pls
0 Reactions
2 Replies
941 Views
Kwa muhitaji wa gari ya biashara Nissan civillian Drive type: 4WD Year: 1997 Engine size: 4200cc Seater: 29 Gari inafanya kazi mkoani (vijiji vya mkoani Iringa), ipo katika hali nzuri sana, ina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NAIUZA HIYO GARI SPACIO 2002 engine vvti trasmition automatic cc 1998 no accident history imetembea kilometer 140000 full ac with radio, power window, bei 9000000/=
1 Reactions
5 Replies
4K Views
CLEARANCE SALE GLASS-BLOCKS Whole lot selling for 400,000/-tshs. (retail value approx 900,000/-tshs) Below Normal price. Due to minor damages. CALL DECOR SOLUTIONS LTD 0784 768 786...
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Kwa gari nzuri na bei nzuri Zenye kilometa chache na hali nzuri Piga no. Serious buyers only 0716398757
1 Reactions
23 Replies
11K Views
Nyumba ya kupanga inahitajika haraka. Iwe maeneo ya Mwenge, Kijitonyama, Sinza, Makumbusho au Makongo. Vyumba viwili hadi vitatu vya kulala na iwe na uzio unaojiyegemea. Kodi kati ya 250,000/=...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Nauza Gari: Accura Honda kwa Milioni 3.5, Specifications: Rangi;Silver, Mwaka;1994, Radio, TV, na spika kubwa. Anaeihitaji ani PM
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kama kuna mwenye hyo simu ikiwa katika hali nzuri na kwa hyo bei ikiwa na charger na ear phone anaweza ni pm tufanye bzness
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom