Bonde kwa ajili ya kilimo

Bonde kwa ajili ya kilimo

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
158
Natafuta eneo lililopo mabondeni au lisilo bondeni lakini liwe tambarare - eneo lenye rutuba. Lenye ukubwa usiopungua ekari 2 (2-10). Nataka nipande nyasi za ng'ombe.
Eneo lenyewe liwe vijijini njia ya Chanika au Kisarawe (umbali usiozidi km 100 toka makutano ya barabara za Kisarawe na Chanika.
Nahitaji kujua hayo maeneo na bei za mashanba hayo.
 
Lipo eneo la kisarawe .lina ukumbwa wa hekta 30.but kama hekta 8 hv ni bonde mkuu .na water base yake ipo karibu sana.more infor contact 0713959290
 
Ekari au Hekta?
Taja bei ili kama ni kukimbia nikimbie mapema.
NOTE: Nimesema vijijini kwa hiyo bei iwe inaendana na maeneo yenyewe.
 
Back
Top Bottom