Piki piki 4 sale

Piki piki 4 sale

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,441
Reaction score
38,436
Nauza piki piki - boda boda, iko poa bei na bei nzuri! kama vp ni-pm for more details!
 
Ni aina gani ya pikipiki na bei zake..ikiwezekana weka picha.
 
kuha makini au unataka kujalibu kuangalia km pkpk yako inauzika tangazo kama ilo kuz sizani halieleweki in short pm nimambo yakizaman huelweki hata kidogo ndo yale maswala una mp nipo kigoma nikupotezeana muda weka maelezo yalio kamilika pkpk ipo api inamuda gan tokea inunuliwe aina gani jama watz mbona bazi yetu sio wachangamfu ktk kuanda mazingila yakuza vitu amka mtz
 
Back
Top Bottom