Nauza mirunda iliyotumia

Nauza mirunda iliyotumia

Aika Mndumii

Senior Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
164
Reaction score
47
Wakuu nauza mirunda iliyotumika. Nimeitumia kumimina slab ya nyumba yangu.

1) Sehemu ilipo: Kigamboni (kibada) jirani na full shangwe kwenye plot za serikali.
2) Idadi: Ipo mirunda 600
3) Urefu: Futi kumi na nne
4) Bei: Ni shilingi 2,300/= kila mmoja
5) Sababu ya kuuza: Nimemaliza nayo kazi kwa hiyo nimeamua kuiuza.
6) Ni mali ya nani: Ni mali yangu mwenyewe.
7) Mawasiliano: Piga 0712 469093

Faida atakayopata mnunuzi: Mirunda hii bado ni mizima na ina urefu wa kutosha. Bei ya Dukani ni wastani wa shilingi 3,000/= kwa mtu anaejenga maeneo ya kibada inaweza kuwa nafuu sana kwake.

Asanteni wakuu.
 
Back
Top Bottom