Honda crossroad
Year, 2008
Engine 1790cc
83000 km
7 seats
Grey in color
Tail spoilor
Alarm security
With full service oil
Price: 19m
Location: Dar es Salaam
Call: 0698235368
1 year insurance
Habari. Jamaa yangu anauza Nissan Xtrail kaisajili mwezi November last year. Haina shida yoyote kama uko interested njoo DM nikupe contact zake
Features
2003 make
Axis Model
Locally used 3months...
Heri ya mwaka mpya 2024.
Pikipiki yenye namba za usajili MC 903 CCU aina ya TVS inauzwa.
Mahali: Dsm
Bei: 1,200,000
Hali: Nzuri sana
Mawasiliano: 0746929412
Haina udalali.
Pikipiki ina nyaraka...
Habari zenu wajumbe.
Inahitajika gari aina ya Noah, ikiwa NOAH box itakuwa poa sana kwaajiri ya matumizi ya kuzungusha wafanyakazi vituo vya kazi siku za kazi kuanzia jumatatu hadi jumamosi...
WALE WENYE UDHOEFU MSAADA PLS
TUMEVAMIWA NA VICHECHE WAMEKULA KUKU WANGU WAKUBWA MPAKA.UNAONA HURUMA YAANI SAIZI YA KATI WAKISUBIRIA KUTAGA
SIJUI ANAEJUA DAWA YAKE AMANI AIPO TENA HATA NJE...
OFFER OFFER OFFER
CCTV CAMERA KIT AND INSTALLATION
Pata huduma bora ya kufungiwa Cctv Camera kwa Bei nzuri , tunafanya kazi mikoa yote karibuni.
Camera zetu zina rekodi picha yenye rangi masaa...
OFFER OFFER OFFER
ELECTRIC FENCE INSTALLATION
HUGE OFFER 20,000/= per meter
fungiwa electric fence kwa 20,000/= kwa mita moja, gharama iyo inajumuisha vifaa vyote vinavyotumika na ufundi...
Subaru Forester inauzwa
Bei: 20.5m
Model, 2010
Engine size 1990cc
Kilometer 72366
Five seats
5 doors
Tire, wheelspaner
FM radio, DVD jack, spare.
Inapatikana Dar es Salaam
Kwa maongezi zaidi piga...
Wakuu habar za mwamko?
Nahitaji machine ya kuvunia mpunga Kwa ajiri ya kazi ya kuvuna mpunga msimu huu kuanzia mwezi4.
Nahitaji kujua aina ya machine iliyo bora na upatikanaji wake wa spears...
Hello bosses and roses...
Nauza Apple iPhone XS Max Gold kwa 500k tu. Nimeitumia kwa miezi miwili tu, battery health ni 87%.
Bado ni mpya kimwonekano hata kimatumizi.
UPDATE.
========
SOLD
Kwa wanaotaka viwanja dodoma, follow Widechance real estate:
Tuna viwanja
1.Nala IFM(km 14 from city centre) Milion 2.5 - 5 kwa kiwanja kutegemeana na ukubwa wa sqm 500-1000
2.Nala karibu na...
VIWANJA VIPO UWANJA MPYA WA DODOMA - MSALATO UPANDE WA KITELELA, NA INAPOJENGWA BARABARA YA MZUNGUKO RING ROAD BEI KUANZIA 1,000,000 MPAKA MIL 2 UKUBWA NI KUANZIA SQM 500 HADI 1,600 MAWASILIANO...
Habari,
Ninauza hizi tractor mbili. Zote ni 2WD. Mtumba kutoka Uholanzi bila jembe/trailer.
MF135-46Horsepower
MF158-63 Horsepower
Zimesajiliwa na kila kitu kinafanya kazi vizuri kabisa(Engine za...
Salama Wakuu?
Nina bati 13 za ALAF zimebaki baada ya kupaua naziuza, 11 ni za mita 3 na 2 ni za mita 3.3 nina kofia 1 na valley 1 zote ni charcoal grey na aina ya bati ni Versatile, zina kama...
Habari wakuu,
Natafuta shamba kubwa ambalo limeshawai kulimwa au tambarare ambalo litakuwa rahisi kulimwa kwa mikoa niliyo orodhesha hapo juu.
Siitaji shamba ambalo lina miti maana kuondoa miti...
KILASILO GUEST HOUSE INAUZWA
Specifications;
9 rooms self contained zote
Fence eneo lote + gate
840m² eneo
Kisima (120m) maji muda wote
Dawasco pia maji yapo
Kutoka barabara kuu ni 600M
LOC...