Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu habari za jioni, Nahitaji gari ya kutembelea yenye fuel consumption nzuri pamoja na durability and should be Sedan! Nimeshauriwa kununua Toyota Carina au Corolla Sedan Kuna tofauti kubwa...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Mashine ya kusaga na kukoboa,motor horse power 65,motor horse power 40,vifaa vyake vya umeme vyote hivyo shilingi million 6 tuu. piga 078688884
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, tunakodisha viti,turubai na meza kwa bei nafuu.Tunapatikana mabibo,kwa mawasiliano piga namba 0757969866/0712488125/0689736823.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, tunakodisha viti,turubai na meza kwa bei nafuu.Tunapatikana mabibo,kwa mawasiliano piga namba 0757969866/0712488125/0689736823.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
heshima kwa wadau wa jamii forum. Nahitaji kuwa na tablet ya sumsung au ipad ya apple kwa yoyote anayeuza. Budget yangu 300000. Nipo arusha kama unauza.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Plot ina nyumba ya vyumba vitatu, Master, jiko, store, Car park, Vyumba viwili vya nje. Ina ukubwa wa 17mita kwa 36mita. Inatazamana na Magorofa ya sigara, inapakana na barabara ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
software :- Quickbooks pro visualbasic 6 ubuntu os windows xp/vista/7/8 ms office 2010 n.k ni PM...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
HAbari wana jf, najitaji mtu anayeuza tshirt aina ye jezi ambazo ni original. aniuzie kwa bei ya jumla. ama anielekeze duka linalouza. pia anipe na bei ya jumla 0754078015 nakumbuka nikiwa dar...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama unayo uza. Bajeti yangu 50 elfu. Nipo Mwanza. Namba ya simu: 0766978393:
0 Reactions
4 Replies
966 Views
Kwa wana JF wa Mbeya, natafuta kiwanja maeneo ya Salaga Uyole
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iwe imetumika mda usiozidi miezi sita isiwe na tatizo lolote na iwe nzima bila michubuko yoyote na matairi yawe fresh sio kipara ni pm ikiwezekana attach picha yake ukicomment hapa.nipo Dar Asanteni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hey ajee.!! wakuu na shida na hp elitebook 2570p iwe katika mazingira mazur! Ina specification zifuatazo, 500gb hard disk, 8Gb ram, Core i5, Muonekano wa nje, Fingerprint, Keyboard yake herud...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ka unahitaji tecno s3 na uko tabota ni pm tufan ye biashara
0 Reactions
1 Replies
858 Views
Nahitaji simu/phablet tajwa hapo juu HP Slate6 Voice Tab
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Naomba kuelemishwa nataka kulima kilimo cha vitunguu kuanzia ekari tatu. Naomba msaada nianzie na mtaji gani na gharama yote nitakayoingia mpaka nitakapovuna. Pia masoko nitapata wapi na kwa bei gani?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa ipo Kibamba Shule kilomita 1.5 kutoka Morogoro Road, sehemu ni nzuri ina eneo kubwa (miguu/feets 44 x 50 AU/OR 39mita kwa 49 mita AU 1911 square meter..eneo ni kubwa zaidi ya robo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau nahitaji king'amuzi cha digtek nko dar sinza kwa remy nichek kwa namba 0783380123
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TOYOTA RAV 4 J FOR SALE IN DAR Price: Tshs 11,500,000/= Contact: 0769142586 Year: 2003 Mileage: 59,600 km Steering: Right Transmission: Automatic Fuel...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
ESCUDO Inauzwa Bei Million 6. Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0712170226
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu huu mzigo uko sokoni kwa anayeuhitaji. Ni ya mwaka 2004 Imesajiliwa dar dec 2013 Imetembea km 79,000 Imelipiwa kodi zote muhimu Gari iko dar na iko katika hali nzuri sana kwa anayehitaji...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom