nahitaji tablet ya sumsung kwa anayeuza please.

nahitaji tablet ya sumsung kwa anayeuza please.

nundaz

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
272
Reaction score
193
heshima kwa wadau wa jamii forum. Nahitaji kuwa na tablet ya sumsung au ipad ya apple kwa yoyote anayeuza. Budget yangu 300000. Nipo arusha kama unauza.
 
ipo tab 3 sumsang..nyeupe ipo kwenye hali nzuri bei 500000 kaka...
 
ipo tab 3 sumsang..nyeupe ipo kwenye hali nzuri bei 500000 kaka...

nahitaji sana hii kitu tatizo ni bei mkuu. Jaribu kushuka basi mpaka hapo kwangu ili tufanye bussness kaka?
 
nahitaji sana hii kitu tatizo ni bei mkuu. Jaribu kushuka basi mpaka hapo kwangu ili tufanye bussness kaka?

450000 mwisho mkuu...nipo arusha kama upo tayari...nipm tuwasiliane!
 
Back
Top Bottom